} });
 

TANGAZO
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa kinyang'anyiro cha kuwania ubingwa wa ligi ya EPL bado kiko wazi licha ya timu yake kuwa mbele na pointi saba mbali na mechi moja ambayo haijacheza.
Mourinho anaamini kuwa timu yoyote ambayo iko nyuma na pointi saba ama nane bado ipo katika kinyang'anyiro na kwamba hashangazwi na kushuka kwa Manchester City katika kupigania taji hilo.
Chelsea itamenyana na QPR ugenini jumapili katika debi ya Magharibi mwa London.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top