TANGAZO
Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwa anashangazwa na viongozi wa CHADEMA kuhoji anakotoa fedha za kugharamia mikutano na ziara za ACT-Wazalendo pamoja na kujinadi kwa wananchi.
Zitto amewajibu jibu jepesi kwa kusema “CHADEMA walianza bila ruzuku, waulizeni fedha za ziara zao za kuzunguka kwa helkopta nchi nzima walizitoa wapi? Kule walikopita ndiko na mimi ninakopita huku na huko” alisema huku akishangiliwa na maelfu ya wananchi jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha
Alifafanua kuwa fedha za chama chake wanazofanyia ziara zinatokana na michango mbalimbali ya watu wenye nia njema na chama hicho, Zitto pia aliwataka wananchi wa Mwanza kuchuja na kuchagua uzalendo. “Chujeni mtu mwenye hoja twendeni tukaijenge nchi”.
Kabwe Zuberi Zitto (born 24 September 1976), popularly known as Zitto Kabwe, is a Tanzanian politician.He was a member of the opposition party, Chadema, from 1992 until his expulsion in March 2015. He served as a Member of Parliament for the Kigoma North constituency from 2005 to 2015.On 20 March 2015, he officially joined the Alliance for Change and Transparency.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment