Burundi yatangaza tarehe za uchaguzi A+ A- Print Email TANGAZO Tume ya taifa nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Hata hivyo, msemaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Burundi Prosper Naugwania amesema bado vyama vya siasa havijatoa kauli kuhusu tarehe hizo. Awali, Halima Nyanza alizungumza na Msemaji huyo wa Tume ya uchaguzi ya Burundi nae anaanza kwa kuzitaja tarehe hizo: soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016 TANGAZO Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment