TANGAZO
Imesikika tena sauti yake live on air kutoka ndani ya Jengo la Bunge Dodoma akiwa na hii ishu nyingine >>> “Imejitokeza sakata la ufisadi kwenye uagizaji wa Mabehewa, Ripoti ya uchunguzi kuhusu jambo hili ipo inaonesha Kampuni ambayo ilipewa tenda ya mabehewa imeleta mabehewa ya kiwango cha chini na ililipwa fedha kabla ya kuleta mabehewa“>>> Mbunge David Kafulila.
“Huwezi kuleta hoja kwa mwongozo, sekta inayohusika ina wajibu kujua hiki kitu kama ni kweli au sio kweli.. hatuwezi kujiingiza tu kujadili. Kamati inayohusika kama wewe ulipata na wenyewe watakuwa wamepata zaidi” >>> Spika Anne Makinda.
“Kafulila asingeipata taarifa hii kama PPRA ambayo iko chini ya Wizara ya Fedha haijapeleka Ripoti hii kwenye Kamati… Ripoti hii imetolewa sio siri, tumeikabidhi Wizara ya Uchukuzi ichukue hatua kwa sababu inahusu zaidi manunuzi kwa sababu ni sekta ya Uchukuzi lilikuwa linasimamiwa na Wizara ya Uchukuzi.. sio jambo la kufichwa” >>> Waziri Saada Mkuya Salum.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment