} });
 

TANGAZO
Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa
Tawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake wakati wa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani
Ripoti kutoka kwa maafisa wa usalama nchini Yemen zinasema kuwa Nasser al-Wuhayshi aliuawa siku ya ijumaa katika mji wa bandari wa Mukala.
Kundi lake limelaumiwa kwa kupanga mashambulizi kadha dhidi ya Marekani likiwemo jaribio la kuilipua ndege ya Marekani mwaka 2009, pamoja na shambulizi katika gazeti la Charlie Hebdo mji Paris nchini Ufaransa mwezi Januari mwaka huu.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top