} });
 

TANGAZO


Rais Kikwete Kuzindua Filamu ya Mamba 
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa
Filamu ya Mamba wa Mto Zigi itakayozinduliwa Juni 5, mwaka huu katika viwanja vya Tangamano, jijini Tanga.
Kaimu Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Tanga (Tanga Uwasa), Ramadhani Nyambuka, alisema filamu hiyo inaelezea jinsi ya mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi katika Bwawa la Mabayani.
Filamu hiyo imeandaliwa na Tanga Uwasa, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na GIZ Tanzania kwa ushirikiano na Benki ya CRDB.
Nyambuka alisema filamu hiyo inaeleza namna ambavyo mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi wanaolizunguka bwawa hilo ulivyo.
Mtanzania
 

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top