} });
 

TANGAZO
TFDA: NI HATARI MIFUKO YA PLASTIKI KUWEKA CHAKULA 


MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imewataka wananchi kuacha tabia ya kuweka vyakula kwenye mifuko ya plastiki, ili kujiepusha na magonjwa yanayoweza kusababishwa na kemikali zilizotumika kutengenezea mifuko hiyo.
Akizungumza na Power Breakfast Clouds Fm leo, Meneja Uhusiano wa TFDA, Gaudensia Simwanza alisema kumejengeka utamaduni kwa wananchi hasa katika maeneo ya mijini kutumia mifuko hiyo kuhifadhia chakula vya moto kama chips na wali bila kujali madhara yake.
“Mifuko ya plastiki imetengenezwa kwa kemikali ambazo zinaweza kwa kemikali ambazo zinaweza kumletea madhara mlaji kutokana na mwingiliano kati ya chakuala na kemikali hizo, hivyo ni vyema wananchi wakaelewa kuwa kinga ni bora kuliko tiba, ” alisema Simwanza.
(Visited 139 times, 1 visits today)

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top