} });
 

TANGAZO
AKPO
Maandalizi ya msimu mpya yameshaanza rasmi huku baadhi ya vilabu vikiwa tayari vimeanza kucheza michezo ya kujipima nguvu,leo klabu ya Arsenal kikosi cha wachezaji nyota wa Singapore mabao 4-0 huku kijana anayechipukia kwa kasi Chuba Akpom akifunga mabao matatu peke yake bao linguine limefungwa na kiungo Jack Wilshere.
Kwenye mchezo huo Arsenal haikumtumia kipa wao mpya Petr Cech ingawa baadhi ya wachezaji nyota kama vile Per Mertesacker, Mathieu Debuchy, Francis Coquelin, Alex Oxlade-Chamberlain na Wilshere walicheza mchezo huo.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top