TANGAZO

Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya kikao cha NEC mjini Dodoma zimedai kuwa tayari majina ya wagombea watatu yametajwa ambapo waliopita ni John Pombe Magufuli, Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ali.Ambapo kikao hicho kilipata fursa yakuwasikiliza kila mmoja na baadae zoezi la kura lilifatia,,,KUR ZIMESHAPIGWA TUNASUBIRI MATOKEA,,,,ENDELEA KUFUATILIA HABARI ZETU MAANA MUDA SI MREFU TUTAKUJUZA.....
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment