} });
 

TANGAZO
Vijana hao wakiwa katika Tawi la Chadema, Mwananyamala jijini Dar.
VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamerudisha kadi za CCM katika tawi la chama cha Chadema zilizopo Mwananyamala kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM.

 Vijana hao wa vyuo vikuu mbalimbali waliokuwa wakiimba wimbo wa tunaimani na Lowassa wamekabidhi kadi zao za CCM kwa Kaimu Mwenyekiti wa Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni ya Chadema, Bi. Esther Semaja na kukabidhiwa kadi za uanachama wa CHADEMA.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top