TANGAZO
Huyu ni yule aliyekuwa mbunge wa Kahama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutangaza kukihama chama hicho,,akitaja kuwa moja yasababu ni RUSHWA,ambapo baadhi ya viongozi wanashiriki haswa waliopo wilaya humo.
Pamoja na hayo Lembeli amewashukuru wananchi wa wilaya ya Kahama pamoja na viongozi wa CDM,kwa kumpokea vizuri ,nakutaja hajawahi kupata mapokezi makubwa namna ile tangu awe mwanasiasa. Na tayari amejaza fom ya watia nia kwa ajili yakugombea ubunge kwa tiketi ya CDM mwaka huu.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment