TANGAZO
Tukio hili limekuwa gumzo ndani ya wilaya ya Kahama ambapo watu Takibani 60 wamepoteza ali zao na wengine kukosa hata chombo cha kuokota...Mtandao wa Kahamacity uliweza kufika eneo la tukio nakuwapa pole wahanga hao,ambapo moto umesababishwa na hitilafu ya mita
![]() |
| hii ndio mita |
Hata hivyo mtandao huo ulifika mpaka katika uongozi wa soko ambapo ulikuta na meneja wa soko hilo ili kujua kuna utaratibu gani ambao unaendelea mpaka sasa,,,
Ambapo kiongozi huyo alisema anasubiri majibu kutoka uongozi wajuu,,,,,,
tutakujuza punde majibu yatakapokuwa kuwa tayari....Kahamacity inatoa pole kwa wahanga walitukio hilo.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker








Post a Comment