} });
 

TANGAZO


Ukweli wa Dk Slaa Kuondoka kimya kimya Chadema umethibitishwa katika video hii hapa chini na Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Professa Abdallah Safari huku Mwanasheria  Chadema, Mabere Marandu akisema wazi kuwa hali ndani ya chama ni mbaya.

Tazama ukweli wote hapa chini kwenye video ya habari hii iliyorushwa na AZAM TV wakati Lowassa akirudisha fomu ya Urais CHADEMA.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top