} });
 

TANGAZO
RAIS WA TANZANIA DR. J. P. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli leo amefungua bunge la 11 rasmi huku akiwasihi wab unge kuungana kwa umoja wao ili kuwahudumia wananchi nakuacha vijembe ambavyo havilengi kusaidia wananchi.Akiendelea kuhutubia Mh.Magufuli ameongeza kuwa ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni atazitimiza na Mungu amsaidia,akiendelea kuzungumza amesisitiza kuwa ni lazima ELIMU itolewa bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne.
         Hata hivyo wakati akitambulishwa rais wazanzibar Dr.Shein w,wabunge wa upinzani walianza kupiga makelele na hivyo kupelekea Spika wa Bunge kuwaondoa ndani ya bunge.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top