} });
 

TANGAZO

Chanzo cha Uhakika kutoka Wilayani Kasulu ambapo Gari alilopanda Makongoro Nyerere limepinduka na imeelezwa kuwa kapelekwa hospitali ya wilaya kwa ajili ya uchunguzi. 

Lakini taarifa zilizozipata hivi punde kupitia Jamii Forum zimesema Makongoro nyerere hakuwepo kwenye gari hilo.


Taarifa yenyewe hii hapa chini:-

Quote By baro View Post
Habari kwenu 

Ni kweli mh. Makongoro Nyerere , msafara wake umepata ajali lakini walioumia ni mwandishi Cyprian Musiba, na jamaa mmoja , Chief hakuwa kwenye hiyo gari bado yuko fit kwa mapambano hivyo tumuombee kwani wameshapanga mbinu za kumuondoa lakini hawatafanikiwa , 
Chief Makongoro Nyerere , sala za wazalendo wa Tanzania tuko nyuma yako
Alikuwa katika harakati za kusaka wadhamini

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top