} });
 

TANGAZO

  • Page Liked · 4 hrs · 
     

    Baada ya kuzomewa jana Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alifunguka haya 

    “Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo. Mimi sigangi njaa na kama mnataka kuwa na kiongozi mganga njaa muwekeni muone atawasaidia vipi,” Source: MCL

    Unazungumziaje suala hili
  • Bradley Msangi Hayo ni madhara ya kulipana fadhila matokeo yake ndiyo hayo ccm ijitafakari kwa watu kama hawa uwezi kuwadharau wanainchi waliokufanya leo ujitambe una njaa wakati umewaibia jasho lao mwizi mkubwa uyo mama
    Like · Reply · 3 hrs
  • Patty Del Duero Nimeiona ipo kwenye Grup letu ilitumwa tangu asubh haaaaa haaaaaHarun Omary
    Like · Reply · 1 · 22 mins
  • Peter Anatoly kapatia wapi kama sio kodi zetu cc wananchi walalahoi mnaotunyonya kila kukicha????? kama na wewe kauli hiyo imekuudhi like 2chonge ye2 bhana tuachane na ccm
    Like · Reply · 292 · 4 hrs
  • Ambrose Julius tren ni ndefu sana ila ikifika mwisho lazma igeuke lzma wa2 wakubal kuwa ccm imechoka, UKAWA is the best,
    Like · Reply · 152 · 4 hrs
  • Adelin Michael Kileo huhuhuhu mm nasemaje peoples powerrrrrr! Ndo habari ya mujini! Yan tutawanyosha tuu mwaka huu hawa kijani kibichi maana ctak hta kuwaita ccm maana amna kitu apa yani mpka kielewekee! piga like kama upo chadema tuwapindue awa wasiojielewa wanagombana wenyewe kwa wenyewe hawajitambui ??

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top