} });
 

TANGAZO
Mzee KankaaMsanii mkongwe wa maigizo na filamu  Bongo, Mzee Kankaa, amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Mzee Kankaa alijipatia umaarufu mkubwa miaka ya 2008 kupitia igizo la JUMBA LA DHAHABU lililokuwa likirushwa hewani na kituo cha TBC1 chini ya kiongozi wao Tuesday Kihangala.
Mazishi yake ni leo hii majira ya saa 10 jioni nyumbani kwake Tandale Yemen jijini Dar es salaam. Inna Lillahi Wa Inna Ilaihi Raji’un

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top