} });
 

TANGAZO


MAKONGOLO NYERERE
Mbunge wa Afrika Mashariki,Ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ametangaza rasmi leo kuwania nafasi ya Urais.

Makongolo ametangaza nia hiyo kijijini kwao Mwitongo Butiama mkoani Mara.
HUU MWALIKO WAKE ULIIOKUWA UMESAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII SIKU CHACHE ZILIZOPITA.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top