} });
 

TANGAZO
 Wapiganaji Sudan Kusini
Watoto wengi wamelazimishwa kuwa wapiganaji Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo ikiwemo marufuku ya usafiri na kupiga tanji mali za majenerali sita wa Sudan Kusini.
Watatu ni kutoka upande wa serikali na wengine watatu ni kutoka upande wa waasi.
null
Majenerali waliowekewa vikwazo ni kutoka kwa serikali ya Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar
Hatua hii inajiri siku chache baada ya ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuonyesha ukatili mkubwa wa kibinadamu katika mapigano yanayoendelea nchini humo.
Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Samantha Power amesema vikwazo hivyo ni onyo kwa wale wanaendeleza ukiukaji wa kibinadamu Sudan Kusini.

soma habar kilasiku kazi ya mikono yangu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 859 030 #ZAMU YAKO 2016

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top