TANGAZO

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na
moyo wa kupenda kazi.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Rished Bade na Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar
es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha
serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Katibu Mkuu
Utumishi Mhe HAB Mkwizu na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu,
Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya
kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi,
nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Mhe. George Mcheche Masaju na Makatibu Wakuu, Manaibu
Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam
baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa
weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja Makatibu
Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini
Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha
serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment